Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha(AICC) kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika mjini Arusha.Rais Kenyatta ndiye mwenyekiti wa jumuiya hiyo ya wnanachama watano.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakijadiliana jambo kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Masharariki uliofanyika mjini Arusha leo(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2014

    body language inaonyesha mambo sio mazuri.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2014

    Hawa jamaa 'CoW' (Kenya, Uganda na Rwanda) kinacho wasumbua wakawa hawana raha kila uchao ni wivu dhidi ya Tanzania!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2014

    Gharama kubwa inampata mtu mwenye kumdharau mtu mwingine halafu akakuta yule anayemdharau yupo juu zaidi yake!

    Hicho kitu ndicho kinacho wagharimu Kenya, Uganda na Rwanda ni kuwa wamejenga mentality potofu kwamba wao wapo juu kwa kila kitu zaidi ya Tanzania wanakuta mambo hayapo kama wanavyo fikiri ndio mwanzo wao wa kwao kutokuwa na raha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2014

    Kenya, Uganda na Rwanda hawana raha daima kwa kuwa wana mentality mbovu ya DHARAU, WIVU, ROHO MBAYA NA CHUKI hasa wanapoona wamezidiwa mambo na TZ!!!.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2014

    Usichunguze sana mdau wa kwanza. Uhusiano wa nchi jirani ni kati ya watu wa nchi hizi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2014

    Wao kwa dharau zao, ubinafsi wao, chuki zao na roho mbaya zao ndio watakao vunja EAC!

    Hawa jamaa M-7,PK na UK wana 'ma-Kimba' (mapande ya kinyesi) ndani ya roho zao ndio maana mara zooote hawana raha juu ya TZ.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2014

    Hawo jamaa wasio na raha wana Jilazi sana na Tanzania waliyo idharau, kuishusha na kuibeza inayowaacha kwa kila kitu kila uchao!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 01, 2014

    Hawa akina K-Fail (YKM, PK na UK)

    'K-Fail ni Coalition of Willing' walijaribu kumuumba ng'ombe mwenye mguu mitatu waka fail (wakashindwa kujaribu kitenga Tanzania) matokeo yake ng'ombe akageuka akawa Jini!

    Jilazi inawasumbua sana hawa akina K-Fail!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 02, 2014

    Jamaa hawana raha kabisa usoni, ni kuwa wametishwa na Maonyesho ya Jeshi la Tanzania ktk Sikukuu ya Muungano !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...