Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Karatu wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili mjini humo ambapo alifungua jengo la Halmashauri ya wilaya ya Karatu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kkwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Karatu muda mfupi baada ya kuwasili mjini hapo ambapo alifungua jengo la Halmashauri,Kufungua jengo la TRA wilaya na kuzindua mradi wa maji.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na mtoto mwenye ulemavu Meshack Amos kutoka katika kijiji cha Kansay wilayani Karatu.Mtoto huyo alimweleza Rais kuwa amemaliza darasa la saba na hakupata fursa ya kuendelea na masomo Rais Kikwete ameahidi kumsomesha(Picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Great to see people smile, I mean honesty smiles.

    ReplyDelete
  2. Good on you Meshack,if you want something you go to the boss and ask. well done kijana and hopefully education will assist you in one way or another. Thanks JK.

    ReplyDelete
  3. Hongera Rais wangu kwa kuwa na UTU.

    ReplyDelete
  4. Hawa kina kikwete ni wasikivu sana na hawana makuu ni watu wa kujishusha mara zote.

    ReplyDelete
  5. Licha ya kuondoka karatu 2012,karatu ni sekondari ya wavulana iliyo km 7 kutoka karatu mjini. Kwa kumbukumbu hizo sare zilikuwa za sekondari ya welwel iliyo karatu mjini. Na siyo weruweru ile ya kilimanjaro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...