Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji
Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike Richie Richie. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...