RATIBA YA MAZISHI YA MAMA BERNADA ALOYCE NJELEKELA (26 NOV 1933 – 14 APRILI 2014)

SIKU YA JUMATANO, 16 APRILI 2014




TUMSIFU MARIA ENYI WANAWE

1. Tumsifu Maria enyi wanawe
Tumtolee salamu tumshangilie
Salaam, Salaam, salaam Maria
Salaam Salaam Salaam Maria

2.Katika uwingu ni mfalme mkuu
Mwondoa hatari mama wa Mungu
Salaam, Salaam, salaam Maria
Salaam Salaam Salaam Maria

3. Hatuna Mwombezi aombeae
Kwa Mungu mwenyezi kuliko wewe
Salaam, Salaam, salaam Maria
Salaam Salaam Salaam Maria

4. Nyota ya Bahari, Mlango wa Mbingu
Mwondoa hatari mama wa Mungu
Salaam, Salaam, salaam Maria
Salaam Salaam Salaam Maria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni kwa msiba ndugu zangu. Niwashirikishe neno hili. Bwana Yesu ndiye mwombezi wetu soma maandiko yafuatayo:Warumi 8:34;1Yohana 2:1-2 na Waebrania 7:25Bikira maria si mwombezi wetu alikuwa ni mwanadamu kama sisi naye alikufa wala hawezi kuwa mfalme mkuu katika uwingu mwondoa hatari wala si mama wa Mungu.Bwana Yesu kabla ya kuja duniani alikuwepo mbinguni akiwa ni nafsi ya pili ya Mungu(Mungu Mwana) au Neno.
    Soma Yohana 1:1-15.Tukisema hatuna mwombezi mwingine kuliko maria si kweli,Na Bwana Yesu tunamweka wapi?Hii haimo katika biblia takatifu.Bwana Yesu ndiye njia, kweli na uzima(Yohana 14:6)Asanteni na Mungu wa mbinguni awabariki na kuwafariji katika kipindi hiki kigumu kwa kuondokewa na mpendwa wenu.

    ReplyDelete
  2. Amen anony... Number 1.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...