Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Great point man. Tanzania is where we came from and there we shall return. Wazunguz did the same thing in the 18th & 19th centuries but finally returned to their mother lands. But to the surprise of many, some people back in TZ have forgotten or have no clue about this kind of history. That is why we keep lagging behind in a lot of things. You can't disown your people who are just regular good humans struggling to find ways to harvest from anywhere in the world and ship back home. Wazungu did so and are still doing it today.

    ReplyDelete
  2. If you ask me, i guess you guys in the Diaspora should stop whining and do something tangible to get out of this quagmire. This is the best time ever to unite forces, go to Dodoma and lobby the MPs who are the only people who can decide your fate by considering your case and ultimately include this Diaspora thing in the new Katiba. Otherwise mtakuwa mnampigia mbuzi gitaa weeeee hadi mpaliwe. Kusanyeni nguvu, muwe kitu kimoja (sio kila upande i.e. Uingereza, Marekani na kwengineko kivyao) njooni Dodoma muwape semina waheshimiwa, mjenge hoja na wakishakubali wao kabang! Kitu na boxi. Mkitegemea vinginevyo mtaula wa chuya, maana hata Raisi hana uwezo wa kuweka hoja yenu katika Katiba. Ni bunge na wabunge pekee wenye uwezo huo! Mwenye masikio na asikie. The mouth has spoke!

    ReplyDelete
  3. mbona yule chef issa kawekeza kule Lindi bila ya mushkeli wowote?

    ReplyDelete
  4. Ivi wakati mnaukataa na kujifanya Wazungu mlifikiria juu ya hayo majina yenu ya Ukoo???Hapa Sweden mie nnae babu mmoja toka Kenya, yeye aliukana Ukenya alipokuja hapa akiwa na miaka 17, leo hii ana 65 kachoka na anataka kurudi ila nadhani mazingira yake aliyokuja nayo ni magumu.Hawa ndio waliokua wakijifanya wajanja leo hii wamegundua kua Ulaya si ishu tena wanabaki na sizitaki mbichi hizi,hakuna kurudi nyuma......no way back....huko huko.

    ReplyDelete
  5. Kwa hyo ulitaka tubaki hapo ili uweze kutucheka miaka yote au ?

    ReplyDelete
  6. Mkuu Lukosi wachana na misukule ya mtandaoni humu wenyewe ni kukatisha wenzao tamaa. Wamejaa fitna, wivu, na kurudisha maendeleo nyuma. Wanapinga uraia pacha na sababu za kipambavu. Labda jamaa walinyimwa visa (lakini ilo halituhusu sisi), kila mtu na bahati yake maishani. Lakini ndiyo kawaida yetu weusi kuwekeana ngumu. Lipite lisipite tutabaki kuwa Wabongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...