Tanzania iko katika hatua muhimu ya utekelezaji wa mfumo wa National Electronic Single Window System, makati bio ya mfumo huu yataanza mwezi June 2014, utarahisisha ufanyaji biashara na kuchangia kainua uchumi wa Tanzania.
Mradi huu ni sehemu ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa ( Big Result Now) unasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa niaba ya wadau wote na utanufaisha watumiaji wa bandari zetu zote, viwanja vya ndege, mipaka yote ya Tanzania. 
Mfumo huu unatarajiwa kupunguza muda wa mizigo kukaa bandarini na hivyo bidhaa kuingia katika mzunguko wa uchumi haraka. 


Wadau wa Port Community System wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao leo, jijini Dar es salaam. Tanzania iko katika hatua ya utekelezaji wa mfumo wa National Electronic Single Window System, mfumo huu utaanza kutumika mwezi  Juni  2014 na kurahisisha ufanyaji biashara na kuchangia kainua uchumi wa Tanzania 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...