Mkuu wa Wilaya ya Kalambo enzi za uhai wake Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari. 

Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. 

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, 
Jina lake lihimidiwe.
AMIN

(Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. poleni sana kwa yote yaliyowapata
    ila siwezi kufumbia macho mambo haya mimi nikiwa daktari bingwa hapa marekani jamani watanzania wenzangu unene sio sifa ni kifo watu wengi wanapoteza maisha kwa ajiri ya kutofanya mazoezi damu inashindwa ku flow vizuri ushauri wangu punguzeni mafuta

    ReplyDelete
  2. Kama ni mtanzania, na ni daktari bingwa hapa Marekani. Kwa nini msijipange kusaidia Tanzania tukapata hospitali nzuri na huduma nzuri kama hapa Marekani? mwaweza kujiorganize na kutoa elimu kwa wauguzi na kusaidia upatikanaji wa vyombo vya kisasa kwenye hospitali zetu. Tuna wasomi ila hamtusaidii kwa vitendo Tanzania. By the way nashukuru kwa ushauri huo mzuri.

    ReplyDelete
  3. RIP Mr Chang`a.
    As for the fellow Dr, marehemu hasemwi vibaya.
    KUHUSU MAMBO YA UZITO:-
    1st LAW OF THERMODYNAMICS:-"Energy is always conserved; it cannot be created or destroyed. In essence. energy can be converted from one form into another.SO IN ORDER TO LOSE WEIGHT, ONE WILL NEED TO REDUCE ENERGY INTAKE( FOOD AND ESPECIALLY FAT AS THIS CONTAINS THE GREATEST CALORIE VALUE) AND INCREASE ENERGY EXPENDITURE.
    NB:-
    -There are 3,500 calories in one pound (~ 0.5kg) of body fat.
    -Aim at creating a deficit of 500 calories a day, i.e. 3,500/week.
    -This can be accomplished through burning the calories through TIZI, creating caloric deficient through ur diet or a combo of both, the latter being the most favourable method.
    -Start slowly, initially aiming at 250 calorie deficit/ day with 30 minutes of TIZI.
    -30 Mins of cardio a day should burn 250 calorie.
    -If you go out once a week for a meal or a drink u can add 1200 calories to your intake, and u will need to take this in account.
    -You can easily google different food caloric values.
    -Good luck and take it easy.
    -Ndimi.
    -Dr Gangwe.
    -


    ReplyDelete
  4. Thanks Dr. Gangwe for the information about exercise and losing weight by either walking and kind of food you are supposed to eat. Thanks

    ReplyDelete
  5. Pumzika kwa Amani Chang'a

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...