Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu Mhe.Samia Suluhu akiwa anafuatilia mchango wa Mhe.William Lukuvi kwa makini.
Hali ya hewa yarejea kuwa ya kawaida bunge maalum la katiba mjini Dodoma leo
  Hali ya Ukumbi Ulivyo kuwa Leo ambapo  Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini na ustaarabu wa hali ya juu.
 Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Labda ndugu Mwandishi ungefafanua jinsi utulivu ulivyopatikana??????

    ReplyDelete
  2. Ni kuwa baada ya Serikali kuukata mzizi wa fitina kwa kuonyesha Hati Halisi ya Muungano ikawa matokeo yake ndio hayo ya utulivu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...