Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Asante sana Ankal kwa ku-upload video za Muungano na kufanya kazi overtime.. Naomba kama utaweza kutuwekea video kamili ya sherehe hizo zilizorushwa na TBC1.. 

    ReplyDelete
  2. Kwa wasanii walioimba siku ya Muungano nawapongeza sana. Ni HESHIMA KUBWA SANA kuimba kwenye siku kubwa kama ile na mbele ya marais wengi. Ni nadra kupata fursa kama hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...