Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Henry Martin, Bruno Thobias na Alex Vicent(wa kwanza kulia) ambao wamejipatia ving’amuzi na simu aina ya Samsung Galaxy Tablet.
Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(kushoto) akiongea kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya tisa ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti wakati wa droo ya tisa iliyofanyika mapema leo jijini Dar es Salaam, anayemshuhudia ni Afisa Mwandamizi kutoka PWC Golder Kamuzora.
Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(wa pili kulia) akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wana habari mara baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti mapema leo katika Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni Bruno Thobias, Henry Martin na Alex Vicent (wa kwanza kulia).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...