Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014.
Wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia katika Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11, 2014. (Picha na Ofiai ya Waziri Mkuu)
Taifa star oyeeee!!!!!!!
ReplyDeleteThe mdudu,pongezi kwenu vijana wa mitaani mmeweza lakini mikubwa yao ovyo kabisaaa na sitaki hatakuwasikia wala kuwaona,na wasiishie hapo tunataka wafike mpaka kwa wajumbe wa BUNGE LA KATIBA MPYA na waulizwe mnataka serikali ngapi? Lazima wangesema 3 na mngebaki midomo wazi.
ReplyDeleteVijana hawa wanahitaji kila aina ya kuungwa mkono. Ni watoto wa mitaani hawajalaaniwa na Mungu. Mungu anawapenda kama anavyompenda kila mmoja wetu. Badala ya kwenda kuiba na kupora watu wanajitafutia kipato ambacho vile vile kinaitangaza nchi yetu. Wamewashinda wakubwa ambao huenda kutalii. Hongereni sana vijana. Vodacom mwaga pesa hapo.
ReplyDelete