Baadhi ya wanachama wa wazee club arusha  wakiwa na picha ya pamoja na watoto yatima jijini Nairobi  nchini kenya walipowatembelea siku ya pasaka 
Arusha Wazee Club wakiwa Nairobi kwa michezo ya pasaka na timu ya wazee ya Green Yard 

  wachezaji wa Arusha Wazee Club wakipata chakula cha jioni jijini Naorobi nchini Kenya.

Timu ya Arusha Wazee Club wakiwa Nairobi kwa michezo ya pasaka na timu ya wazee ya Green Yard. Picha kwa hisani ya Kipepeo Tours .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...