Baadhi ya abiria waliokuwemo kwenye basi la Princess Muro walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Mkoani Mbeya kuja jijini Dar es Salaam wakiwa hawajui la kufanya baada ya Basi hilo kupinduka jini hii katika eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi,Mkoani Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2014

    Tanzania , TAnzania......jamani jamani.......ivi ......hata la kusema sina......

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2014

    Naomba sana serikali yetu iangalie ,na kufanya utafiti kuhusu haya majanga,pia elimu kwa madereva itolewe na seminar nyingi sana kwa raia na maderefa ,from new england mas

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2014

    The speed limit in mbuga za wanyama area is about 30mph or slower and easier to do emergency stops. This is to safeguard the wildlife that may be crossing etc. However, the bozzo drivers who get licences through the back door are putting lives at risk. I am sure the Govt can get foreign experts to train and issue kosha licences to drivers. The mbuga za wanyama stretch, has no traffic police due to fear of wildlife. Therefore drivers use this opportunity to 'step on' the accelerater for fun or to make up time??? All owners of busses should not employ inexperienced drivers just because they are cheaper because in the long run it is costly...lives and material. Then again, they may be after the insurance??? Therefore i suggest the owner should be the first person to be prosecuted. And i mean jella not fine.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2014

    Jamani madereva muwe waangalifu hasa kipindi hiki cha mvua. Mtatumaliza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...