Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Ikulu Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Mama Isabella Salva Rweyemamu wakijiandaa kuweka shada la maua wakati wa mazishi ya mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu yaliyofanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Wazazi wakiweka shada lao la maua
Majonzi makubwa
Dada wa marehemu na shada lao maalumu kwa kaka yao
Dada wakiweka shada lao
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka mashada yao
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka shada
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiweka shada.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2014

    R.I.P Brian
    Poleni saana familia,marafiki wa karibu na wahusika wote wengine,
    sisi sote tupo katika kilio
    cha kumpoteza mmojawapo wa
    ngome yetu kuu ya ulinzi.
    Mungu amlaze mahali pema

    Mikidadi-Denmark

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2014


    Poleni sana Isabella na familia.

    May Brian's Soul Rest in Eternal Peace. Amen

    Aunt Nelly Temu Williams and family.
    London

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2014

    R.i.p brian tulikupenda ila mungu zaidi.

    ReplyDelete
  4. Gerson MsigwaMay 18, 2014

    Kwa niaba ya familia yangu nakupa pole sana Kaka Salva na familia yako pamoja na ndugu na jamaa. Sote tumeguswa saana na kuondoka kwa Brian mapema namna hii. Inatuuma na itatuuma saana lakini muhimu tusali, tumwombee mwenyezi Mungu amweke pema peponi Amina. Pia Mwenyezi Mungu akupe nguvu na moyo wa uvumilivu kaka Salva. Sali kila unapomkumbuka Brian na Mungu atabariki. Amina

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2014

    Bw.Salva na Bi Isabella Rweyemamu pamoja na familia yenu yote poleni sana kwa msiba wa mtoto wenu mpendwa uliowafikia, tupo nanyi nyote kwa maombi katika wakati huu wa majonzi.
    ----Kaaya
    USA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...