Mhe. Jaji Sanji Monageng ambaye ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) Botswana akitoa mada katika Mkutano wa Majaji Wanawake unaoendelea kufanyika katika UKUMBI wa (AICC) mkoani Arusha.
Mhe. Jaji Mstaafu Eusebia Munuo, Rais wa Chama cha Majaji Duniani (IAWJ) pamoja na wenzake wakifuatilia Mada katika Mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia mada katika Mkutano huo mapema leo.
Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia mada katika Mkutano huo mapema leo.
Baadhi ya Majaji na Mahakimu Wanawake kutoka Tanzania na nchi nyinginezo wakifuatilia mada katika Mkutano huo, moja ya mada zilizojadiliwa ni pamoja na Unyanyasaji wa Jinsia unaohusishwa na Matumizi ya Ngono n.k Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...