Sherehe za siku ya Afrika ambazo huadhimishwa tarehe 25 Mei 2014 ya kila mwaka nchini Zambia. Kwa upande wa Balozi za Afrika zilizopo Zambia sherehe hizi zimefanyika tarehe 27 Mei 2014 nyumbani kwa Balozi wa Nigeria.
Katika sherehe hizo Tanzania ilishiriki kikamilifu.
Mhe. Grace Mujuma Balozi wa Tanzania nchini Zambia akiangalia na kutoa maelekezo katika banda la Tanzania jinsi ya kupanga vyakula vya Kitanzania ambapo kila nchi zilizoshiriki sherehe hizi zilipika vyakula vinavyoliwa sana nchini mwao.
Mhe Balozi wa Tanzania akiwa na baadhi ya Watanzania waliokaribishwa kwenye sherehe.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Bw. Huddy Kiangi, Mtanzania aliyealikwa Bw. Mlay na Mhe. Balozi Grace Mujuma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...