Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi cheti kwa mwanafunzi Hamad Kombo Haji aliyehitimu mafunzo ya utalii, katika sherehe za mahafali na ufungaji wa mradi wa ZEET, kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia, katika sherehe za mahafali na ufungaji wa mradi wa ZEET, kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikagua bidhaa za wajasiriamali katika kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni Zanzibar.
 Mwakilishi wa taasisi ya SAZANI ASSOCIATES ya Uingereza Dr. Cathyrine, akizungumza  katika sherehe za mahafali na ufungaji wa mradi wa ZEET, kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikagua bidhaa za wajasiriamali katika kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni Zanzibar. Hapa anaangalia umeme wa “solar” unaotengenezwa na vijana wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wawakilishi wa mradi wa ZEET pamoja na baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya utalii na ufundi umeme wa “solar”. Picha na Salmin Said, OMKR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...