Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2014

    Zaidi ya Kozi za Undugu wetu Tanzania na Msumbiji, Ankali tupe Matokeo ya awali zaidi tukiona jinsi Joyce Banda anavyo piga mweleka wa Uraisi ili Mzee mzima Joaquim Chissano awe na Kazi rahisi ya kuwamwaga Wamalawi na Madai za Ziwa Nyasa baada ya king'ang'anizi wao Joyce Banda kushindwa Uraisi!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...