Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo zuzu mjini Dodoma Mei 18, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2014.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki, Ernest Leroux, Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na kati, Jerry Gilbert na kushoto ni Connie Anyika. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...