Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa akizindua mafunzao ya uajasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayofanywa chini ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira. (Na Mpiga Picha Wetu)
 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayoendeshwa chini ya taasisi hiyo, Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DTP, Suheil Abdulrasul na Mkurugenzi Mtendaji wa DTBI, George Mulamula. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akiteta jambo na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi wakati wa uzinduzi huo.
 Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
  Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla (katikati) na  Anver Rajpar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2014

    BIG UP MS. NOREEN, MAMBO MAZURI SANA HAYA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...