Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2014

    WAMEZAGE:!!!. By Utawala Ng'wanza kwa Mabula na Masanja

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2014

    That is not nice
    Aliyeandika tangazo hili ni mkorofi na mgomvi
    Ningekuwa huko ningetupa takataka makusudi na kutupa pakacha zima la madanga ya ndizi chini ya tangazo lake ili just to rub him up the wrong way.
    ibrahim

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2014

    Matangazo kama haya ni mengi lakini cha kushangaza sehemu nyingi sana za Tanzania hususani katika Jiji la Dar es Salaam, hawajasambaza matenki makubwa au katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu kama vile sokoni. Sasa unajiuliza uchafu wautupe wapi. Matokeo yake uchafu unatupwa kando kando ya barabara na kwenye mifereji. Sijaelewa hasa sababu ni nini? Viongozi hawalioni? Hakuna fedha za kununua hayo madust bini au shida ni nini? Meya, mkuu wa mkoa, wakuu wa wilaya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, Rais wabunge, mawaziri, wote wanaishi Dar es Salaam. Lakini eti hili hawalioni! Mimi siwaelewi anayewaelewa anisaidie.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2014

    Tangazo zuri sana, huyo anesema angetupa takataka mbele ya tangazo hilo lazima atakuwa nyani tu. na ane sema eti hakuna dust bins mimi nimeona sehemu kuna dust bins na mtu anatupa takataka chini. Juzi nilikuwa kwa bus na kuna dust bin lakini mtu alitupa taka taka dirishani,huu si ndio unyani. TANGAZO ZURI TU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...