Mhe. Stephen Wasira amezindua tovuti itasaidia umma kupata taarifa zinazohusu shughuli za maendeleo na changamoto katika jimbo la Bunda na nyinginezo.
Taarifa hizi zinapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Unaweza kuzipata
kulingana na kifaa (device) ukitumiacho kama desktop/laptop computer (PC), tablet na simu za mkononi.
Mbunge wa Serengeti Mhe. Dr. Kebwe alikuwepo pia.
Muonekano wa tovuti ya Mhe Stephen Wasira wakati wa uzinduzi wake leo
Mhe. Wasira akiangalia tovuti yake baada ya kuizindua leo
Mhe Wasira akiwa na Dkt. Kebwe Stephen KEBWE Mbunge wa Serengeti na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa hafla hiyo fupi
Wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa tovuti hiyo
Hii ndiyo tunaita viongozi wa dotcom wenye ujui wa kutumia teknolojia ya kisasa, inaonekana watu wa Bunda wako juu kidigitali.
ReplyDelete