Ofisa mikopo kwa wateja wadogowadogo wa Benki ya KCB Tanzania,Teresia Soko akitoa mada kuhusiana na baadhi ya huduma za benki hiyo kwa Wafanyabiashara mbalimbali wa mipaka ya Tanzania,Ambao walikutana jijini Arusha kujadili mikakati ya kibiashara katika soko la jumuiya ya afrika mashariki.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard Sesibera(kushoto)akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika mashariki,Felix Mosha,wakati wa mkutano wa wafanyabiashara mbalimbali kutoka mikoa ya pembezoni mwa Tanzania.Mkutano huo uliandaliwa na Benki ya KCB Tanzania na kufanyika jijini Arusha.
Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Felix Mosha akitoa mada wakati wa mkutano ulioandaliwa na Benki ya KCB Tanzania kwa wafanyabiashara wa mikoa iliyopo mipakani mwa Tanzania.Waliokutana jijini Arusha,kujadili mashwala mbalimbali ya kibiashara katika soko la jumuiya ya afrika mashariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...