Ofisa masoko mkuu wa kampuni ya kimataifa inayo shughulika na maswala ya ubora(SGS) Bwana Hemed Hamza akipatiwa maelezo na Ofisa masoko kanda ya Afrika kutoka Kampuni ya Hawle Bwana Alois Ramaseder kuhusu vifaa vya mabomba ya maji safi na maji taka vinavyo tengenezwa na Kampuni ya Hawle ya Nchini Austria na anye shuhudia pamevaa suti nyeusi ni Mkurugenzi Mkuu wa Prima Business Consulting KG ya nchini Austria Bwana Dietmar Steininger maonyesho hayo ya vifaa vya maji safi na maji taka pamoja na vifaa Gesi kutoka nchini Austria yanafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam Tanzania.
Ofisa masoko mkuu wa kampuni ya kimataifa inayo shughulika na maswala ya ubora(SGS) Bwana Hemed Hamza akiwa anawafahamisha watengenezaji wa vifaa vya Gesi pamoja na Maji safi na Maji taka kutoka Nchini Austria kuhusu uingizaji Nchini vifaa vyenye Ubora Kushoto kwa bwana Hamza ni Eng Wolfgang Wachter kutoka Kampuni ya ELIN Wasserwerkstechnik(EWT) inayo tengeneza Mita za kisasa za maji na gesi ya Nchini Austria anaye futia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni OSTAP inayotengeneza mitambo ya maji machafu ya Nchini Austria Eng Christoph Gierlinger na ayefutia ni Ofisa masoko kanda ya Afrika kutoka Kampuni ya Hawle Bwana Alois Ramaseder Walikutana katika maonyesho ya vifaa vya maji safi na maji taka pamoja na vifaa Gesi kutoka nchini Austria yanayofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam Tanzania.
Eng Artmann Haralld kutoka kampuni ya ELIN Wasserwerkstechnik(EWT) ya nchini Austria akitoa maelezo kuhusu Mita za kisasa za maji nagesi zinazo tengenezwa na kampuni yake kwa baadhi ya watalamu wa maswala ya gesi na maji walio fika katika maonyesho ya vifaa hivyo inayo fanyika katika Hoeli ya Serena Jijini Dar es salaam Tanzania.Picha na Chriss Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...