Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC) Rashid Omar akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katika mkutano na Wanafunzi wa chuo hicho ngazi ya Diploma na Sataficate katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk hayupo pichani wakati akitoahotuba kwa wanafunzi haokatika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akiwahutubia Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC) katika ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
Mwanafunzi Mwajuma Ali Kombo wa chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)akiuliza maswali kwa Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk alipokutana na Wanafunzi hao na kuwataka kuelezea matatizo yao katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
Mwanafunzi Mwita Abdalla wa chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)akiuliza maswali kwa Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk alipokutana na Wanafunzi hao na kuwataka kuelezea matatizo yao katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...