Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) wakati alipozindua bodi mpya ya kituo hicho Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam. Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet kairuki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Raymond Mushi (kushoto). 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam.  kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo,  Prof. Lucian Msambichaka; Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (nguo nyekundu), Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Raymond Mushi (kulia katikati) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka (kulia). 
 Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Bi. Juliet Kairuki (kushoto) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (katikati) wakati wa uzinduzi rasmi wa bodi mpya ya kituo hicho Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam uliofanywa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...