Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini T.P.B.O Yassin Abdalla 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi leseni ya ngumi bondia Ibrahimu 'King Class Mawe' ambayo anaweza kutumia Dunia nzima kwa ajili ya kutambulika kitaifa na kimataifa ambayo inaweka rekodi mbalimbali za bondia pindi anapocheza mchezo.
Home
Unlabelled
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APATA LESENI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tuelezee process hadi kupata hiyo leseni. Hiyo ndio elimu kwa umma.
ReplyDelete