Mtanange ulikuwa mgumu. Brazil hawakuvutia kabisa. Lakini
ilitosha kuwapeleka robo fainali za Kombe la Dunia, ingawa kwa mbinde, baada ya kuitoa Chile kwa njia ya
penati katika mchezo wako wa raundi ya 16
kwenye uwanja wa Mineirao mjini Horizonte.
Neymer ndiye aliyeweka
kimiani bao la ushindi wakati Brazil ikiwa chini kwa mabao 3-2, lakini shujaa
wa siku hakuwa yeye bali kipa wao Julio Cesar aliyeokoa mikwaju miwili,
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...