Innocent Melleck akikaribishwa na chipukizi katika uwanja wa
Ghala -Himo wilaya ya Moshi vijijini kwa ajili ya kusimikwa kuwa naibu
kamanda wa UVCCM katika wilaya hiyo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini na kamanda
wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini Dk Cyril Chami akimvisha vazi
maalumu Innocent Melleckak wakati akisimikwa kuwa Naibu kamanda wa
UVCCM wa wilaya hiyo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini na kamanda
wa UVCCM wilaya ya Moshi
vijijini Dk Cyril Chami akimkabidhi Innocent Melleckak ngao na mkuki
kuashiria kukabidhiwa majukumu ya kuwa Naibu kamanda wa UVCCM wa
wilaya hiyo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...