Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa Ustawishaji Mkao Makuu Dodoma (CDA) muda mfupi baada ya viongozi hao kuwasilisha taarifa ya mpango mpya wa uendelezaji mji Mkuu Dodoma kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, na wanne kushoto pemebeni ya Rais ni Kaimu Mkurugenzi mkuu CDA Mhandisi Ibrahim Ngwada. Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2014

    Achaneni na ujenzi huu unaozidi kula pesa bure!

    Eti mji mkuu uwe katikati? Hii ni dhna iliyotokana na teknolojia ya industrial revulution: usafiri ulikuwa ni barabara na reli na idea ya long distance telecom.

    Wakati wa gigital hakuna haja ya mji mkuu kuwa katikati!

    Wakubwa hawataki kuachana na Dar, after all!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...