Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ACP Ahmed Msangi akiongea na Madereva na wamiliki wa daladala jijini mbeya |
Mchungaji William Mwamalanga akiwasihi madereva wa dalala kutulia na kumsikiliza kamada wa polisi wa mkoa wa Mbeya |
Sehemu ya madereva na kondakta wa daladala mkutanoni
Mkutano ukiendelea kwa utulivu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...