Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe 20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi..jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...