Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison
Mwakyembe akiongea wakati wa kuwakaribisha ujumbe wa maafisa wa serikali kutoka
jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu usiku katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere. Wengine ni Naibu Gavana wa Jimbo hilo, Bw.
Yav Guilbert (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Jimbo hilo, Bw. Kahozi Sumba
(kulia). Ujumbe huo upo nchini kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo.
Home
Unlabelled
maafisa wa serikali kutoka jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watua dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...