Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifungua mafunzo kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria, hoteli ya Zanzibar Ocean View, Kilimani Zanzibar.
Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Aboubakar Khamis Bakar, akizungumza katika mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watekelezaji wa sheria, hoteli ya Zanzibar Ocean View, Kilimani Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...