Mkurugenzi wa Huduma wa Kituo cha
Uwekezaji Nchini (TIC), Bi. Nakuala Senzia (kushoto) akizungumza na waandishi
wa habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na kongamano la siku mbili la uwekezaji
na biashara la China na Tanzania (China-Tanzania Business Forum) linalotarajiwa kuanza kesho jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Meneja Mawasiliano wa
TIC Bi. Pendo Gondwe, (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya
Stanbic Tanzania, Bw. Paul Omara (wa
tatu kushoto), Afisa Habari Mkuu wa benki hiyo, Bi. Naomi Vincent na Mkuu wa
kitengo cha huduma kwa wateja Wakubwa, Bi. Sylivia Shelukindo (kulia).
Benki hiyo ndiyo inayodhamini mkutano huo.
Home
Unlabelled
maandalizi ya kongamano la uwekezaji na biashara la CHINA NA TANZANIA linaloanza JUMATATU dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...