Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akipunga mkono wakati akiteremka katika ndege na kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akivishwa shada la Mauwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao wakwanza kulia akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Zanzibar baada ya kuwasili,katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akiwa pamoja na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakikagua gwaride rasmi lililotayarishwahapo katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akiangalia ngoma ya Utamaduni (Msewe)baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao kushoto akiwa pamoja na Meneja wa Hoteli ya Lagemma,Andrew Cook wakwanza kulia walipowasili katika Hoteli hio huko Nungwi kaskazini Unguja kwa ajili ya Kikao Maalum.PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...