Hapana shaka umeshamsikia Mkude Simba kwenye mitandao, hasa Whatsapp, akichana watu mbavu kwa lafudhi yake ya Kiluguru na vituko kibao. Kama hujamsikia basi Mkude Simba ndio gumzo la mujini hivi sasa. Naye anapatikana katika kituo kipya cha redio inayokuja juu kwa kasi nchini E-FM 93.7 ambapo usiku ni ngoma ya mchiriku kwa kwenda mbele....Hehehheee
Home
Unlabelled
mambo ya e-fm 93.7 na mkude simba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi nakuvulia kofia. Yaani ni wachache kama wewe. Niko huku Alaska na leo umeniweka karibu na nyumbani kwa link hii. Natokwa machozi wallahi kusikia mambo ya nyumbani. Huku ukiona mswahili ni kama ndoto. Naiweka hii katika favourites zangu. Shemeji yenu huku haamini kuwa dunia ya tatu tuna mambo moto kama haya!
ReplyDelete