Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari na Mai Waifu wake Anande Nnko wakishangiliwa kwa shangwe mara baada ya kumeremeta kwao kwenye kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru jijini Arusha.
"Mmetuona "ni kama ndio maneno yaliyokuwa vichwani mwao maharusi,Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa.
Maharusi wakiwasalimia waumini waliohudhuria ibada ya ndoa yao (hawapo pichani).
Barabarani kulijaa watu wakimshangilia Mbunge wao akijinyakulia Jiko. |
Kama kawaida Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili. |
Hongereni sana
ReplyDelete