Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkabidhi aliyekuwa Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thanduyise Henry Chiliza zawadi ya picha ya kuchora ya Mlima Kilimanjaro wakati wa hafla ya kumuaga Balozi huyo ambaye amemaliza muda wake wa kazi hapa nchini. Hafla hiyo ilifanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro) Jijini Dar es Salaam. (Picha na Reginald Philip)
Home
Unlabelled
Membe amuaga rasmi Balozi wa Afrika Kusini nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...