Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2014

    'Agriculture it pays' !!!

    Kilimo kinalipa!!!

    Tuache Usanii wa Mijini twende shamba tukalime na kupata Utajiri badala ya kuzama kwenye Usanii Mijini tukaishia Magerezani!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2014

    Wanaosema Raisi Jakaya Kikwete hajaleta maendeleo na kuwatoa watu ktk Umasikini wanatumia vigezo gani?

    Based on Professionalism Jakaya Kikwete has made a very wonderful job !, just find The Award on Leadership Excellency ''Imactful 2013 African Leader of the year''

    Look this the Economic growth has been at 6.9% to 7.1% despite of the challenge on distributing the growth something even the bigger economies of the world have got this.

    Tanzaia is a unique and an example no many countries of the world can offer agriculture courses to its citizens like these, here take the opportunities !

    ACHENI KULALAMIKA MAISHA MAGUMU NENDENI MKASOMEE KILIMO VYUO NDIO HIVYO HAPO TUMETAJIWA NA ANUANI ZAO , MKASOME MJIAJIRI KWA KILIMO NA KIJIKWAMUA KUTOKA KWENYE UMASIKINI!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2014

    Michongo kama hii ya Kozi za Kilimo za Serikali kwa Wananchi hata Kenya, Rwanda na Uganda hawanaga!

    Maraisi wao huko hawana Mipango yenye akili kama hii, wao wanawaza hujuma, vita na mifarakano tu.

    Halafu wenyeji mmezubaa wahamiaji haramu wakija kuchukua Fursa hizi mtalalamika?

    Haya masuala ya michongo kama hii ya Kilimo ndiyo mambo yanayo wavuta Wahamiaji haramu (Burundi, Uganda na RWANDA) kuzamia Tanzania kwa JAKAYA KIKWETE kwenye maisha bora zaidi ya kwao!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2014

    Halafu Watanzania mtalalamika maisha magumu kazi hakuna wakati Kozi za Michongo ya Kilimo na kujiajiri ndio hizo?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2014

    Watanzania tuache Usanii Mijini na Umachinga kwa kuuza mashati matatu mikononi tukitembeza Mitaani, twende tukalime kwa kuwa Kilimo cha Kisasa cha Kisomi kwa kupitia ktk Elimu ya Vyuo kama hivi ni cha Uhakika na kinalipa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...