Kikosi cha timu ya soka ya Panone fc ya Mkoani Kilimanjaro.
Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2014

    Hawa wapinda mgongo tutawapanda kwa mabao mengi kwenda mbele. Daraja la kwanza wanaume hawapindishi mgongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...