Professor Benezeth Mutayoba , Profesa chuo kikuu cha Sokoine na makamu mwenyekiti wa Tanzania Elephant Protection society akipokea tuzo ya Buffet For Leadership In Conservation kutoka National Geographic siku ya Alhamisi June 12, 2014 Washington, DC. Wanaomkabidhi tuzo ni Dr. John Francis (kushoto) ambaye ni makamu wa Rais National Geographic kwenye Utafiti na Gary E. Knell ambaye ni Ris National Geographic na Afisa Mtendaji Mkuu
Professor Benezeth Mutayoba , Profesa chuo kikuu cha Sokoine na makamu mwenyekiti wa Tanzania Elephant Protection society akiotoa shukurani na kuelezea kuguswa kwake kwa Natianal Geographic kutambua mchango wake na kumpa tuzo ya 2014 National Geographic Buffett For Leadership in Conservation.
Professor Benezeth Mutayoba , Profesa chuo kikuu cha Sokoine na makamu mwenyekiti wa Tanzania Elephant Protection society katika picha ya pamoja na maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku alipotembelea Ubalozi huo kutoka kushoto ni Afisa Switebert Mkama, Professor Benezeth Mutoyoba, Mkuu wa Utawala na Fedha Mama Lilly Munanka Afisa Paul Mwafongo na Amon Mutayoba mtoto wa Profesa Benezeth Mutayoba aliyemsindikiza baba yake kwenye tuzo hiyo.
Honegera Profesa. Sasa hivi mikakati ya kisasa ya kupambana na ujangili inahitajika.
ReplyDeleteProf. Mutayoba,
ReplyDeleteYou make us proud. I hope we all learn from you and your determination. Thank you
Ankali,
ReplyDeleteChuo Kikuu cha Sokonne kipo nchi gani?
Maana mkoani Morogoro, Tanzania kuna Chuo Kikuu cha Sokoine hiki cha Sokonne ni wapi?
Mwisho hongera sana Profesa kwa kupewa tunzo.
Mdau
Christos Papachristou
Diaspora