Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi mjini Malabo, Equatorial Guinea, pembeni ya Mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika Juni 26, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi mjini Malabo, Equatorial Guinea, pembeni ya Mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika Juni 26, 2014.PICHA NA IKULU
baada ya kuona picha hii nimekumbuka yale maneno ya jeshi kuchukua nchi wenzetu hufanya kweli si ya kuomba hapa kwetu.
ReplyDeleteTutam miss sana rais wetu akiachia ngazi hapo mwakani
ReplyDeleteKuna wakati Au iliafiki kutounga mkono serikali ya nchi mojawapo ya Au iliyoingia madarakani kijeshi...mbona huyo wa Misri hwakumtenga; hata hapa tanzania tumepokea ujumbe kutoka kwake na zawadi ambatana!
ReplyDelete