Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah Maongezi(mwenyesuti ya bluu), akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kliniki mpya ya watu waishio na seli mundu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Seli Mundu Duniani, Muhimbili Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Profesa Eligius Lyamuya na Mkurugenzi wa Tiba Muhimbili, Dk. Hedinga Swai na kutoka kushoto ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Damu, Dk. Alex Magesa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto na Mkuu wa Idara Muhimbili, Dk. Mary Charles.
Picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) na wafadhili.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah Maongezi,katika picha ya pamoja na watoto wenye Siko Seli
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah Maongezi, katika picha ya pamoja na watoto wenye Siko Seli pamoja na Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) Dar es Salaam leo katika Maadhimisho ya Siko Seli Duniani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...