FAMILIA
YA GEORGE JOHNSON MPONDELA INATANGAZA KUWA MSIBA WA MZEE WAO MPENDWA
GEORGE JOHNSON MPONDELA ALIYEFARIKI JUZI TAREHE 15/6/2014 KWA UGONJWA WA
MOYO KATIKA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI UTAKUWA NYUMBANI KWAKE
KIGAMBONI MJI MWEMA.
MAZISHI YATAKUWA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 19/6/2014 SAA 10 JIONI MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM,
IBADA YA MISA ITAFANYIKA KANISA LA KATOLIKI MUHIMBILI SAA 7 MCHANA NA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA HAPO.
IBADA YA MISA ITAFANYIKA KANISA LA KATOLIKI MUHIMBILI SAA 7 MCHANA NA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA HAPO.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA 0658870106/0713508861
R.I.P. George Mpondela - CASTRO.
ReplyDeleteJembe!!, ...its sad, now it is past tense! R.I.P. GM-Castro
ReplyDelete