Uzinduzi wa Video mpya ya CPwaa "Chereko Chereko" utafanyika Jumapili hii (8/6/2014) ndani ya New Maisha Club Club. sambamba na uzinduzi huo kundi la wasanii wa kizazi kipya "Wadananda" litatambulisha wimbo wao mpya uitwao "Kidaluse".
Watakaosindikiza usiku huo ni pamoja na:
Dullayo, Spince Senseme,Wakazi,Dknob,Country Boy,Young Suma,Msami,Gnex, The B est of Kino na The chocolate Dancers.
Home
Unlabelled
Utambulisho wa video mpya ya Chereko Chereko - CPwaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...