Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akimkaribisha ofisini kwake balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23 Julai 2014


Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akiongea na  balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23 Julai 2014

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2014

    URAISI 2015:

    Tusiangalie umri pekee, kulingana na changamoto zilizopo ngumu kama hizi hapa chini:

    1.Muungano wa Afrika ya Mashariki.
    2.Muungano wa Bara na Visiwani.
    3.Hatma ya TZ katika kuelekea Uchumi wa Gesi na Mafuta.

    TUNAHITAJI JAKAYA KIKWETE MWINGINE 2015 ATAKAYEWEZA KUYABEBA MAGUNIA YOTE MATATU YA MISUMARI MGONGONI, NADHANI HILI ATALIWEZA HATA MHE. SALIM AHMED SALIM !

    ReplyDelete
  2. Ofisi pametulia sana. Tunaweza kuona nama Dr Salim anavyo tunza mazingira kwa kutumia taa zenye teknolojia ya 'Energy Efficiency' (I presume); ingawa ofisi una mwanga wa jua ya kutosha. Ndugu Salim is the President that we never had.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...