Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Excel Management and Outsourcing,Deogratius Kilawe (wa tatu kulia) akikabidhi sehemu ya Misaada kwa Sista Silvanus ambaye ni Msimamizi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi jijini Dar.Kampuni ya Excel Management and Outsourcing imetoa msaada huo baada ya kuguswa na kuona uhitaji wa Watoto hao.
Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Excel Management and Outsourcing,Deogratius Kilawe pamoja na timu yake wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi msaada wao kwa Kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi,jijini Dar.
Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Excel Management and Outsourcing,Deogratius Kilawe akisaini kitabu cha Wageni kwenye Kituo hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...