Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha baada ya kupokea msaada wa kitanda maalumu chenye thamani ya shilingi Milioni 11 kwa ajili ya akina mama kutumia wakati wa kujifungua na vifaa tiba mbalimbali, msaada huo ulitolewa na tawi la benki hiyo mkoani arusha.
Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akiwa tayari kupokea msaada wa kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja benki ya KCB Tanzania tawi la arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo.Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 11 kwa ubora wake kitatumika kwa zaidi ya miaka 30.
Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akipokea msaada wa kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja benki ya KCB Tanzania tawi la arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo.Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 11 kwa ubora wake kitatumika kwa zaidi ya miaka 30.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...