Sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni. Noti ya Mia Tano maarufu kama 'Jero' itaendelea kutumika, ila itaondolewa taratibu katika mzunguko, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa BoT, Bw Emmanuel Boaz, aliyeiambia Globu ya Jamii kwenye banda la Benki Kuu katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2014

    Mia tano haijawahi kuitwa JELO ila imepata kufahamika kama JERO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2014

    kwa watoto wa hivi karibuni "JERO" ni kifupi cha "PAJERO" magari yaliyoingia bongo enzi hizi mia tano inatoka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...